Kenyan Jobs Vacancies

Nafasi Ya Kazi - Dereva (Driving Job)

Nafasi Ya Kazi - Dereva
 
Kampuni maarufu ya uchukuzi iliyo na vituo vyake karibu na Nakuru na Mombasa ina nafasi ya kazi kwa Dereva wa Trela nzito.
 
Ni lazima awe na vyeti vifuatavyo:-
  • Leseni halali ya I - Art. M/V
  • Kitambulisho halali
  • Barua kutoka kwa mwajiri wako wa zamani
  • Onyesha kwa vyeti kuwa umeendesha lori lenye uzito (semi trailer) kwa muda usiopungua miaka mitano.
Tuma barua na nakala zako kwa:-

Mkurugenzi Mkuu,
Sanduku la Posta 15030
Nakuru 20100